BURIANI KEN WALIBORA
BURIANI KEN WALIBORA Na HUSSEIN M KASSIM Kama ni machozi, basi yanitoka kapakapa Kama ni jitimai, sonono haliniishi Mawazo na fikra? Ni mkururo baada ya mwingine. Tanzia ya kifo chake baba Kennedy Atanasi Waliaula niliipokea mkesha wa tarehe 15/04/2020. Hapana shaka kuwa nitaikumbuka tarehe hii milele. Namwita baba kwa maana halisi ya mzazi. Ameniathiri […]
BURIANI KEN WALIBORA Read More »