Safari ya uandishi na Solomon Muya
Tangu utotoni mwangu mwendazake babu yangu alikuwa na mazoea ya kunighania ngano haswa kuhusu Maumau. Wakati mwingine nilimfuata hadi kwenye mikahawa ya uchwarauchwara kule kijijini kwa lengo la kusoma gazeti la Taifa Leo, yeye akidhania kuwa hamu yangu ni chai na andazi ambazo ziliuzwa kwa sh.10 pekee, kumbe mwito mkuu ulikuwa maandishi. Nilipenda vitabu na […]
Safari ya uandishi na Solomon Muya Read More »