Ukoloni Mamboleo Unadhalilisha Uhuru wa Waafrika
Ukoloni Mamboleo Unadhalilisha Uhuru wa Waafrika Na Sitati Wasilwa Nchi za Kiafrika zilipojinyakulia uhuru, Waafrika wengi walihisi kwamba mifumo ya kijamii, kiuchumi na kisiasa yangewanufaisha. Pindi tu nchi hizi zilipopata uhuru, mabeberu walijiondoa uongozini lakini bado kulikuwepo na dhana ya ukoloni ukizingatia maswala ya kisiasa, kijamii na kiuchumi. Kisiasa, utawala ulibuniwa na kuendeshwa kwa kuiga […]
Ukoloni Mamboleo Unadhalilisha Uhuru wa Waafrika Read More »