MAELEZO YA KITABU
Mwangwi wa Maisha ni diwani ya mashairi iliyoandikwa na malenga chipukizi, Bwana Edward Ombui Almaarufu Malenga Mdogo.Mashairi haya yamesukwa kwa ujuzi na ufundi wa hali ya juu yakirejelea bahari tofauti na mbinu mbalimbali za lugha na uandishi. Mwangwi wa maisha imeshugulikia maudhui mbalimbali kama vile;-siasa, dini, ulemavu, jinsia, uchumi, ulitima, uongozi, ukabila, mapenzi, mazingira, ndoa, elimu, utendakazi na mengine mengi.
Reviews
There are no reviews yet.